Jeremiah 48:44

44 a“Yeyote atakayeikimbia hiyo hofu kuu
ataanguka ndani ya shimo,
yeyote atakayepanda kutoka shimoni,
atanaswa katika mtego,
kwa sababu nitaletea Moabu
mwaka wa adhabu yake,”
asema Bwana.
Copyright information for SwhNEN